mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Wakekila jambo na wakati
Mwache apambane na hali yakeAkifika miaka 35 tu ataanza kutafuta viagra vimuongezee uwezo[emoji3] [emoji3] [emoji121] [emoji121] [emoji121]
Mkuu mkuu
You just went philosophical on me...
Nilikuwa naongea katika level ya huku kwetu Uswahilini Mbagala mkuu.
Sasa wewe umezama kifalsafa level za huko kwenu Masaki....
Nakubaliana nawe
Uzima wangu unaongezeka nilivyo ona hii post yako.Mzima wewe?
HahahahahaMimi ni kwa mtogole[emoji2] huko ni kwa watu wasiojulikana[emoji5]
Yani nimekumbuka ule mtanange nika sema ndio uliofanya huu uzi ukawa na post nyingi.Hivi uniq umeusahau ule mtanange??[emoji23][emoji23][emoji23]zile siku zilikuwa burudani sana humu...
KITAMU HAKIONJWIUnasema
Cc. Babe S. Love UWalimwita eti wa kusoma wapi. Kijanja janja akabeba mtoto na kuwapoteza watu wazima. Moudgulf naye naona amejitoa muhanga kupambana upya. Ngoja tuone kama atasalimika!!!
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Ngoja aje nasikia huko Tukuyu leo baridi sana asije akakimbilia chooni[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]