carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
We ISIS wa nini?Mpaka mzee wa liver amrudishe ISIS
Kwani we utaki hawepo?We ISIS wa nini?
There you are bro mzee wa liver katukatili kweli. Mzee wa liver Mungu anakuona kwa kweliIlikuwa ifanyike Masaki. Mzee wa Liver ndo alitukwamisha kwa sababu hakutoa rukhsa mapema. Mbagala kwangu walikataa eti makelele. ISIS akasema majirani zake Warusi wakifakamia Vodka huwa wanapiga makelele sana ila ni makelele ya kistaarabu siyo kama ya Mbagala.
Umekimbia siasa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamani me siasa siziwezi.ndo maana nipo humu ninagawa like
Spectacle