Ha ha ha ha ha haHiyo sio ajabu
Mimi mwenyewe niliwahi kusafiri na Mende kutoka Ubungo- Gongo la Mboto lakini aliniponyoka ndani ya gari mchana kweupe watu wakawa wananishangaa.
Mimi nikasema wanashangaa specimen sijui walisomea chini ya mti!!
Bro habari yakoKumekuchaaa kwa wana likes