Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Mkuu BAK habari yako
Hivyo mmekamatanaNimekukamata
Shika ushikweSaka usakwe
Kula uliweTenda utendwe
Habari mkuu, umepotea sana sijakuona kwa siku kadhaa mtaani kwetu kule kwenye SMG na Makinikia.
HahahahaNimekupata !!!
Ila kau-Tomaso Tomaso ndo kanasumbua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]