Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Ameeeeeen
Kumekucha salama shemeji. As always, Tumshukuru Mungu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]hatujambo[emoji120][emoji120]
Habari ya wewe
Poa mkuuWapo wanalisongesha. Wameshibana sana wale sema tu ni wachache. Huwa naenda huko mara moja moja. Kuna upendo huko pia na pako shwari.
Napendaga hii itumike lakini ni ngumu.I love you means that I accept you for the person that you are, and that I do not wish to change you into someone else.
Hahahahaha*Statistics from banks in Tanzania show that men withdraw a lot on Fridays while women deposit a lot on Mondays*
I thought you should know [emoji22][emoji23][emoji23] tuwe Makini leo
Mzima mdada!?Abee...me napenda sana kusoma vitabu japo ni mvivu ila najitahidi
Mzima sijui weweMzima mdada!?
Kweli mkuuMpaka ka kimbunga category 4 kakipita hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi poa tu jana nilikumiss hapa...Mzima sijui wewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]HAKUNA KITU CHENYE SAUT KUBWA DUNIAN KAMA MFUNIKO WA SUFURIA JIKON UKIDONDOKA WAKATI UNADOKOA NYAMA JIKONI.
nakuja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji39]
Mbona nilikuwepo?labda tulipishana tuMi poa tu jana nilikumiss hapa...
[emoji120][emoji1317][emoji1317]