Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

I will give you all my money ehee give all my money eeehe [emoji444][emoji444][emoji444][emoji445][emoji443]

COLEWORLDLOVESYOU
You can give all your money na kutoswa kukabaki pale pale. Money ni catalyst tu bro na kama unavyojua catalyst haiwezi kufanya cho chote kama basic (chemical) reactions hazipo. Always remember that [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 
Yaani imekua gia ya wageni hii fukua fukua wakati mtu unaweza ingia na kukubalika haraka bila kufukua yaliyopita

Kwema kabisa,hope weekend yako ipo vizuri
The reincarnation of Rutta...enzi zilee mpaka akaishia kutupwa katika ignore list ya Goddess ISIS [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Kwema lakini?
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ukiwa mtu wa ku reasoning hapa ndo utajua ukizidi kumpa Sana lazima utaumwa ugonjwa ule wa Stress

COLEWORLDLOVESYOU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…