Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

456165a432f16ef34c2a611e0f8acf93--garnishing-ideas-food-garnishes.jpg
 
Moja ya tabia ya kujifunza kama tunataka kufanikiwa ni ” kujisikiliza mwenyewe” kwa kingereza wanasema ” listen to yourself “. Hapa unajifunza kuisikia sauti yako ya ndani, kusikia hisia zako, kuusikia mwili wako nk. Unajifunza kujisikiliza mwenyewe kwa kila kitu kinachoendelea ndani yako.
 
Nini umuhimu wa kujisikiliza mwenyewe? Ukweli ni kwamba unavyojiwazia ndivyo unavyokuwa mara nyingi. Awazavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo. Kama unawaza kushindwa utashindwa kweli, kama unawaza mafanikio utafanikiwa kweli. Sauti yako ya ndani au jinsi unavyofikiria au kujisikia kuna uhusiano mkubwa na jinsi ulivyo leo.
 
Unapotilia mkazo vitu ambavyo hupendi mara nyingi ndivyo unavyovipata, ila watu waliofanikiwa wanatilia mkazo vitu wanavyotaka na sio vitu wasivyotaka ijapokuwa kuna vitu hawataki. Kwa mfano kuna tofauti kubwa mtu akisema “sitaki kuwa masikini” na mtu anayesema ” nataka kuwa tajiri”.
 
Back
Top Bottom