Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kitu cha tatu, kaa kimya mpaka uhakikishe hisia ambayo hutaki imeondoka na umepata hisia ambayo unataka. Ukijisikia unavyotaka kujiskia, na ukawa na fikira unazotaka, basi chukua hatua. Kwa kifupi fanya hivi rafiki;
 
VERSE 2. Young D
Nashukuru nachopata ni sababu ya nguvu zangu, japo hakuna nilichopata bila kupitia tabu, ukiona nafurahia wacha tu nifurahi kwa hayo niliyopitia labda nisingekua hai.
Mambo ni magumu hasa pale unapo saka japo sikua navuta ndumu wakanita ahmada na wskasema sitadumu kwenye gemu hii yasasa...
To be continue..
 
Sio KK huyo shemeji
Wala sijui nilikuwa nawaza nini. Hiyo midomo yako kuna wakati inatuchanganya mpaka tunakosa fokasi....Imejiposti [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 
Katibu mwenye cheo chake hahahaa

Back
Top Bottom