Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mara nyingi nafsi haijali kama kitu unapenda au hupendi au unataka au hutaki, inachojali ni somo linaloongelewa au mada kuu unayosikia au kujiaambia. Mfano wa 1; ” sitaki kuwa mgonjwa“, hapo nafsi inatilia mkazo ‘ mgonjwa’ kwa sababu ndiyo somo linaloongelewa
 
Mfano wa 2; ” nataka kuwa na afya”, hapa nafsi inatilia mkazo neno ‘ afya’ kwa sababu ndiyo somo linaloongelewa. Kwa iyo kama somo ni ugonjwa, basi ndivyo utakavyokuwa hata kama hutaki na kama somo ni afya basi utapata afya. Kumbuka tulipotoka ‘ awazavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo’.
 
Binadamu wote tunakutana na hali ambazo hatuzipendi. Binadamu wote tunakutana na hofu, mashaka, wasiwasi, hasira n.k. Ndivyo binadamu tulivyo na ni sehemu ya maisha. Lakini watu waliofanikiwa siku zote hawaruhusu kubaki na hisia au kuendelea na hali ambazo hawazipendi.
 
Ufanye nini sasa rafiki?
Mfano; kama unaogopa kushindwa. Kitu cha kwanza jua kwamba kuna kitu unakisema au unakifikiria kinachokufanya ujisikie hivyo. Kitu cha pili badilisha fikira zako kwenda kwenye kitu unachotaka ( kwa mfano huu ni kushinda). Badili fikira zako kwa kujiuliza maswali kama; Je ninaogopa nini? Kwa nini ninaogopa? Je nataka kitu gani badala ya hiki ninachoogopa? Je nifanye nini au nahitaji kuwa na nini ili nipate kile ninachotaka?
 
Back
Top Bottom