Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Fukua makaburi mama fukua. Ukimaliza nenda na mochware huko. Halafu hamia ICU.......Hakika
Mara mojamoja sio mbayaMakaburi mengine hayahitaji kufukuliwa
Makaburi mengine hayahitaji kufukuliwa
Sijui tumshitakai maana[emoji35][emoji35][emoji35]Ni yeye. Tungekuwa tushakutana - enzi zile uzi huu ukiwa unawaka moto wa upendo !!!
Baada ya kujiintavyuu mwenyewe sijui kilitokea nini lakini alibadilisha ID na kujitambulisha upya. Yupo !!!Hivi huyu @Jeremiahshikonde aliendaga wapii
Wapumbavu wameongezwa[emoji5] [emoji5]WIZIRA ZINAONGEZEKA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Like za Leo zimevunja record zimezidi like nilizozipata miaka minne iliyopita nipojiunga na jf
Sema shemeji. Nipo natest zali !!!Shemejiiii!!!
Kuna tatizo zikiongezeka?WIZIRA ZINAONGEZEKA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji106][emoji106][emoji106]Napenda amani