Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukisamehe unakuwa na amani na furaha ya kuendelea na safari yako ya mafanikio. Usiposamehe unabaki na uchungu moyoni, unaoweza kukuzuia usifanikiwe na ukose furaha. Samehe kwa sababu unataka kuwa na amani na furaha.
 
1507389061185.jpg
 
Unafikiri ni kwa nini huyo mtoto mzuri aliwapiga chini nyote watatu na kuangukia mikononi mwa denti? Na inavyoonekana kazama kabisa kilindini haoni hasikii. Kuna nini alichonacho huyu denti ambacho nyinyi wahenga hamna? Uchambuzi wenu inabidi uanzie hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
4). Kujaribu tena baada ya kushindwa.

Kama tusingejaribu kutambaa tukiwa watoto basi tusingeweza kutambaa. Kama tusingejaribu kusimama, basi tusingeweza kusimama. Kama tusingejaribu kutembea wakati wa utoto, basi tusingekuwa tunatembea sasa.
 
Hapana me mweusi shemeji
Mweusi na kupenda kuchorwa piko wapi na wapi shemeji?

Wasukuma tuna "shida" kubwa na mabinti weupe. Na kama unataka kuuona ushamba wa Msukuma basi we mgonganishe na cheupe tu. Mtaji wote wa biashara ya ng'ombe utaishiamo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Juzi hapa jamaa alituanzishua sredi kabisa kuhusu hii ishu !!!
 
Back
Top Bottom