Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hatari kabisa
Watu wanapenda upepo[emoji23] [emoji23]
Watu wanapenda upepo[emoji23] [emoji23]
Hahahahaha wataelewa somoHao nyoka hawatakupa nafasi uishi nao[emoji3] [emoji3]
Kuvaa kwako miwani umeona hadi mifukoni.Rudi hapa[emoji23]
Hahahahaha wataelewa somoHao nyoka hawatakupa nafasi uishi nao[emoji3] [emoji3]
Hujagongana nao tu. Subiri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
basi me sina bahati na wasukuma kama ni hivyo[emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Wakuu, ipielo leo imekaaje? Watoto wa jiniazi Wenga wanacheza?
Imekuwa hand lens jicho moja bado unaita miwaniHuoni kama inaona jicho moja?
Wewe.Mimi?nimefanyaje tena??
Hongera sanaNiko page ya 196
Usikuni mwema
Wageni hawajipi muda wa kufahamu wenyeji wakoje wenyewe wakija ni straight kutongoza tu. Ni shida !!!My hubby anaitwa Antonio au alibakari yupo humu
[emoji23][emoji23][emoji23]we si utaki watu wazoee avatar
Huoni mifuko umeitoboa jana.Kuniuzia tena??[emoji47][emoji47][emoji47]
Na Wakenya nao wana shida hii? Huwa wanajidai wako mbele yetu kwa kila kitu !!!