carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Yaan kama mimi watsap naweza kaa nayo hata 6 months [emoji23][emoji23][emoji23]sina muda yaniMmmh za kudumu zina matatizo yake ila duh wanaoweka za kudumu sipat picha watsup kama wanabadilishaga dp maana ngumu kukaa na dp moja siku tatu