Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1507391134622.jpg
 
Yaan kama mimi watsap naweza kaa nayo hata 6 months [emoji23][emoji23][emoji23]sina muda yani
Duh kwangu ngumu maana naweza chat hapa na watsup nipo kama kawaida hapo hapo naangalia video huku napiga umbea na insta udaku naudaka kwa simu moja tu. Hizi nguvu ningewekeza kwenye kusaka hela leo ningeingia Forbes
 
Back
Top Bottom