Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Hahahhaha mzee wa wengerUnaona sasa. Nilikuwa sijui !!!
Asante kwa taarifa mkuu !!!
Shida ni nini? Kutongozwa ama?
Punguza uongo mbona juzi umebadiliYaan kama mimi watsap naweza kaa nayo hata 6 months [emoji23][emoji23][emoji23]sina muda yani
Very trueIron Mike Tyson...Golden era of heavyweight boxing....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duh kwangu ngumu maana naweza chat hapa na watsup nipo kama kawaida hapo hapo naangalia video huku napiga umbea na insta udaku naudaka kwa simu moja tu. Hizi nguvu ningewekeza kwenye kusaka hela leo ningeingia Forbes
Acha niendelee kujifunza toka kwako
Kila kona na deni najificha jf humu hawanioni napishana nao tuMkopo basi si unajua vyuma vimekaza[emoji23]
Mbona hofu kuna kitu umefanya nini.Nimefanyaje[emoji47]
Haloo, mambo vipi babeSMzima mdada!?