Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukisamehe unakuwa na amani na furaha ya kuendelea na safari yako ya mafanikio. Usiposamehe unabaki na uchungu moyoni, unaoweza kukuzuia usifanikiwe na ukose furaha. Samehe kwa sababu unataka kuwa na amani na furaha.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
4). Kujaribu tena baada ya kushindwa.

Kama tusingejaribu kutambaa tukiwa watoto basi tusingeweza kutambaa. Kama tusingejaribu kusimama, basi tusingeweza kusimama. Kama tusingejaribu kutembea wakati wa utoto, basi tusingekuwa tunatembea sasa.
 
Hapana me mweusi shemeji
Mweusi na kupenda kuchorwa piko wapi na wapi shemeji?

Wasukuma tuna "shida" kubwa na mabinti weupe. Na kama unataka kuuona ushamba wa Msukuma basi we mgonganishe na cheupe tu. Mtaji wote wa biashara ya ng'ombe utaishiamo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Juzi hapa jamaa alituanzishua sredi kabisa kuhusu hii ishu !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…