Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Fuatilia..........[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
063ced22208901a809a53904d3832448.jpg
 
Na alichoiba nadhani ni maziwa ya mtoto. Sometimes ubinadamu na common sense tu vinaweza kutuheshimisha...

Kwema lakini. Unashabikia timu gani katika College Football? Kesho najua ni Big Ben and the Steelers na yule kocha wenu mwenye macho kama chura kabanwa na mlango.

Tena wanachekelea kabisa jinsi wanavyo mdhililisha. Ngoja kocha wa Steelers aje akusikie, jamaa ana hasira huyo hatari. Halafu yuko very sensitive, kitu kidogo tu anajua unamfanyia hivyo kwa vile yeye ni black! [emoji23][emoji23] GO NOTRE DAME!
 
Back
Top Bottom