Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eeh jamani
Nakutumia carba sasahv[emoji125] [emoji125] [emoji125]Oyaaa!mwenye buku anipe nikacheze tatu mzuka nikishinda tunagawana[emoji125] [emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23]nitumie mwayaNakutumia carba sasahv[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kweli mkuuLeo ni general knowledge tu kama vile tuko skuli. Ndiyo uzuri wa uzi huu. Huku vichekesho. Kule tiba. Huko utani. Hapa maarifa ya jumla. Kwingine kule michezo, useless stuff (numbers, spoilers) na wafukua makaburi. Mitongozano, wabomoa mazizi, ushilawadu, bifu goi goi na tupovu twa hapa na pale, uzalendo, muziki, upendo na urafiki...Vyote hivi ndivyo vinaufanya uzi huu uwe buffet ya karibu kila kitu.
Na muhimu zaidi ni ile kemiko fomyula yetu - TOA LIKES POKEA LIKES !!!
Asante Sana UbarikiweBeef Lasagna Nakualika chakula cha mchana leo hapa Dar
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nitumie mwaya
Kichwa kichafuMimi mwenyewe sijui wapi ila ukioga badili
We Numbisa wewe! Halafu mtu akikuona laivu si ajabu uko mpoleee mnyenyekevuuuuuuuu ungangari wa mtandaoni tu. Kuna siku nitathibitisha [emoji23][emoji23][emoji23]Nyokolistic hahahaha