carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
kwa style hii uwezekano wa kuchomoka ni mdogo sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kibiti hapo uchochoroni. Leo shemeji huchomoki. KK kifua wazi kaja kimapambano leo. Ningekuwa karibu ningekuja kukuokoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unasemaje maana mimi ndie mjanja wako hapa mjini[emoji3] [emoji3] [emoji3] mwanafunzi[emoji3] [emoji3]
Nimeshafanya hivyo mkuu. Ndiyo uzuri wetu hapa. Tunasikilizana. Nisamehe pia kama pengine nimeovariakti. Nimetegemea tu uzoefu wangu wa muda mrefu hapa. Tuko pamojaPoleni, na samahani sana ikiwa imevuka mipaka. Naondoa, tafadhali ondoa na hiyo quote yako
Shemeji kwema? Wewe ni jeshi la mtu mmoja Shwazinega cha mtoto. Mchina, Big Baba, Moud na wengineo walikuwepo wote ukawagaragaza ukaondoka na mtoto kiulaiiiniiiii. I salute you, sir !!!Unasemaje maana mimi ndie mjanja wako hapa mjini
Bro mimi IG NIshajitoaga ZamanMtoto nasikia wa Masaki huko kwa akina Mzee wa Liver Peninsula full kipupwe money loves me Masaki is my home yeuwii walahi AMUN RA [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Alikuwa na mambo ya ajabu kweli IG mpaka alivujisha na picha zake. Sijui familia za mabinti kama hawa huwa zinajisikiaje zikiona vitu kama hivi...
Mimi pia ila nina kasofutiwea fulani hivi kananiletea tu cho chote ninachotaka !!!Bro mimi IG NIshajitoaga Zaman
Ni Karma ama?The man who found the 5,000 year old corpse Ötzi the Iceman in 1991 (Oldest natural European mummy) was also found dead frozen in ice in 2004.
Ni Karma ama?