Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Halafu nimekuwaza kweli leo,
Mzima wewe?yaani kimya hadi nakumiss shemeji wa mie
Nipo mama,barabara ni mbaya sana,limgari ninalo tumia kutoka shamba kubebea maparachichi limechoka sijapata kuona...Nateseka sana,maparachichi yanaharibikia njiani narudi tena shamba.
Kwahiyo tripu zangu ni za kwenda shamba na kabla sijafika Tukuyu yanakuwa yameoza yooote[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimezoea lakini...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…