mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Habari za usiku huuDon't give up, don't givein ....there is always an answer to everything
Habari za usiku huuDon't give up, don't givein ....there is always an answer to everything
Pole Mungu afanye wepesiNipo mama,barabara ni mbaya sana,limgari ninalo tumia kutoka shamba kubebea maparachichi limechoka sijapata kuona...Nateseka sana,maparachichi yanaharibikia njiani narudi tena shamba.
Kwahiyo tripu zangu ni za kwenda shamba na kabla sijafika Tukuyu yanakuwa yameoza yooote[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimezoea lakini...![]()
Malizia bhana[emoji85] [emoji85]Shemejiiii...unataka nimalizie?
Kumi chache sana toa likes kwa kila post nawe post upate likesHuu Uzi nimeanza kuupenda.
Hebu nipeni like km kumi kwanza niupende zaidi
YopHebu na wewe toa likes kumi za chapu chapu...
Ingia kwenye uzi. Chimbua. Kuna mengi ya kujifunza ...
Bro Kuna jamaa nilikuwa nazungumza nae akawa analalamika kwamba hajawahi kufanikiwa, ndo nikakumbuka jinsi gani ndoto zinavyo tofautiana aiseeBrooooooooooooo !!!
Madomo zege dah !!!Gynophobia – Hofu ya kuogopa wanawake.
Msamehe bure si unajua alikuwa mgonjwaHivi unajua nsamaka ni mkorofi?
Lakini mfano hapo nitaje mimi[emoji23][emoji23]
Naongea na mzee wa liver bhana
Maombi yako hayajawahi kushindwa kamwe.Kila unaloniombea Mungu amekuwa akilijibu kwa wakati.Is this good or bad news?
Oh boy [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Cacomorphobia – Hofu ya kuogopa watu wanene.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii wanayo wengi !!!Glossophobia – Hofu ya kuogopa kuongea mbele za watu.