Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-10-09-21-15-55.png
 
Maombi yako hayajawahi kushindwa kamwe.Kila unaloniombea Mungu amekuwa akilijibu kwa wakati.
Ametenda ambalo sikulitarajia[emoji120] [emoji120]

Narudi shamba kubeba maparachichi[emoji23] [emoji23] [emoji23]ha wa yuu shemejiiii...

Asante sana shemeji. Mungu wetu ni mwema sana; na Yeye huwa haangalii unje wetu wala utakatifu wetu wa bandia. Anatujua na hutenda kama impendezavyo. Habari njema sana. Nitakuja langoni mwako !!!
 
Pole Mungu afanye wepesi
Amen[emoji120] [emoji120] .Najua KK anakusumbua sana,vipi SYB hajakutenga? Mdogo wangu bado hajaachana na ipielo? Na nsamaka hajakushambulia? Kuna faraja yoyote ulipata kutoka kwa mzee wa liver? Naamini Yegomasika atakuwa amehangaika saaana na vimaua vyake vya kuibahili...Aifilu so sore fo yu...
Hauwezi kusema yote lakini najua ni jinsi gani umekuwa mpweke...
 
Asante sana shemeji. Mungu wetu ni mwema sana; na Yeye huwa haangalii unje wetu wala utakatifu wetu wa bandia. Anatujua na hutenda kama impendezavyo. Habari njema sana. Nitakuja langoni mwako !!!
Ukanibebee na maparachichi huko uniletee..
Nilivyomuona nikakumbuka tulivyokuwa tunamtaja asubuhi
 
Back
Top Bottom