Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Fuso hilo wachasugu. Mama mweusi baba Mlebanon. Sierra Leone/Liberia huko kama sikosei. Linadai ni orijino kabisa !!!Mkuu hatari hii
Fuso hilo wachasugu. Mama mweusi baba Mlebanon. Sierra Leone/Liberia huko kama sikosei. Linadai ni orijino kabisa !!!Mkuu hatari hii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] enzi zileeeee..Hivi we Mzee unakumbuka way back ulivyo kuwa unanastukia nikiwa nanyapia, hivi ni mimi hapa kweli.
COLEWORLDLOVESYOU
Mbagala kwema makelele tu dah !!!Hapi tu sii yu ageini buraza...kwema kabisa.Niaje huko Mbagala?
Hujambo lakini mambo ya cha kingstone ni Shida kidogoMzee wa liver hiyo goodmorning vipi saa hizi [emoji38] [emoji38] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Jakitoo njoo huku baby uniite baby nipate faraja ya kibaby baby wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji9][emoji9][emoji9]Carba niite baby
Wewe tena!!! Utakula vyangu mpaka....Uniletee hayo maparachichi nile mie[emoji6][emoji6]
HahahahahaKidogo eeeh!
Msiwe tu wepesi wa kutoa mapovu vyama vyenu na watakatifu wenu wakiguswa. Maana kuna watu ukihoji tu basi mfyatuko wake plate tectonics zinazoachana na kuzalisha earthquake 9.0 hazimfikii. Kama ni hivyo basi muwe wavumilivu !!!
KK siku hizi nimemzoea tunasumbuana.Amen[emoji120] [emoji120] .Najua KK anakusumbua sana,vipi SYB hajakutenga? Mdogo wangu bado hajaachana na ipielo? Na nsamaka hajakushambulia? Kuna faraja yoyote ulipata kutoka kwa mzee wa liver? Naamini Yegomasika atakuwa amehangaika saaana na vimaua vyake vya kuibahili...Aifilu so sore fo yu...
Hauwezi kusema yote lakini najua ni jinsi gani umekuwa mpweke...
Kwenye reality hakuna povuKidogo eeeh!
Msiwe tu wepesi wa kutoa mapovu vyama vyenu na watakatifu wenu wakiguswa. Maana kuna watu ukihoji tu basi mfyatuko wake plate tectonics zinazoachana na kuzalisha earthquake 9.0 hazimfikii. Kama ni hivyo basi muwe wavumilivu !!!
Wewe ni wa pekee[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Asante sana shemeji. Mungu wetu ni mwema sana; na Yeye huwa haangalii unje wetu wala utakatifu wetu wa bandia. Anatujua na hutenda kama impendezavyo. Habari njema sana. Nitakuja langoni mwako !!!
Pamoja mkuu Mimi ndio naingia kupiga likesNiko bize mbaya wapendwa. Nikitulia I promise kila mtu atapata haki yake...Angalau 4-2 hrs kurudi nyuma...
Nice series like jumong kwa kweli hapa walicheza