Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

893e21ff697a747b5a67684862b15d76.jpg
Mkuu mkuu niaje
 
Sasa koromije warudi vipi shemeji[emoji23][emoji23]
Ndiyo hapo kasheshe sasa. Sleeping pills + mvinyo mwekundu. Kuuchapa safari nzima kwa sababu hakuna namna...

[emoji117][emoji117][emoji117]Kuna kipindi pilot akatangaza eti ndege inaingia kwenye turbulence kwa nusu saa nzima hivyo tufunge mikanda na kukaa chini. Hata hajamaliza nikaona vikombe vinagongana. Kuangalia kwenye vile viramani vyao pipa liko juu ya Atlantic Ocean. Sijakaa sawa hiloo likashuka kwa kasi mpaka utumbo unatimbwilika injini zinatokotaaaa. Aisee nilitamani kuomba wanishushe [emoji23][emoji23][emoji23]. Ndiyo jamaa mmoja akanifundisha hii technique ya kutandika sleeping pills. Huwa wananiamsha tukishatua !!!
 
Back
Top Bottom