Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Unajua mzee wa liver simuelewi au maandishi nae yamejitypuJakitoo njoo huku baby uniite baby nipate faraja ya kibaby baby wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji9][emoji9][emoji9]
Shemeji usije ukaniletea zali kwa Cole na Jakitoo. Nitabondwa...ila asante. Tayari faraja kibao mtimani mwangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Baby shemeji[emoji87] [emoji87] [emoji87]
Imejitype[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Aaaa wapi! Raha ya deni kudaiwa mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kila mdeni alipe...
Muendelezo wa jumongThe kingdom of the wind
View attachment 605762
Ushindwe na ulegee na misiasa yako uchwara. Ipeleke jukwaa la siasa kama una ubavu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Usisahau kuleta mrejesho !!!
Haya..wengine wanakopa huku wanazo mfukoni!!Aaaa wapi! Raha ya deni kudaiwa mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi bado sijatulia. Niko nabangaiza bangaiza tu !!!Pamoja mkuu Mimi ndio naingia kupiga likes
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Wewe ni wa pekee[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Siasa hukunguwaza reality na kupofusha wafuasi wake!!!Kwenye reality hakuna povu
Kama suileman nabii Na mtu pekee Mungu aliyemwambia ampe anachotaka alikuwa Na wake mia Tatu Na vimada mia saba how about me[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani hutaki mwanamke mwingine yoyote zaidi na huyo mmoja[emoji6]