Naona umekwisha vaa vazi mujarabu kabisa.
Kweli mkuuFather time hashindwi kitu aisee !!!
EnnheNaona umekwisha vaa vazi mujarabu kabisa.
Njema mkuu.Habari zenu
Ni kweli lakini mansa mussa ndiye tajiri aijapata kutokeaTunafundishwa na vitabu vya imani kuwa Suleimani bin Dawood alikuwa tajiri kuliko matajiri, maana yeye amepewa hazina zote za madini. ispokuwa yeye hakushughulishwa na mali kama wengine wanavyopelekeshwa, kwakuwa yeye mali haikuwa kipaumbele chake.
NakuonaEnnhe
Iko wapiZawadi hiyo kwa atae post comment ya 10k
Alikuwa anarap kinyamaLISA LOPES (Left Eye).
Pengo lake limeonekana
Wamepwaya sana kwa kweliT BOZ na CHILLI wameshindwa kudumisha na kuendeleza mapambano
Yap
Nimekuhifadhia gift zako mrembo.Iko wapi
Na Mimi nakusoma hapaNakuona