Kuna jamii zingine wanaamini mwanamke mzuri ni yule mwenye shingo ndefu basi.Uwongo! Mbona Tanzania haimo?
Ni hivi: Vigezo wanavyotumia ni tofauti na vyetu. Kumbuka dhana ya uzuri hutofautiana kutoka jamii moja hadi nyingine japo sote tunalazimishwa kuamini kuwa mwanamke mzuri ni lazima awe kimbaumbau na asiye na msambwanda. Uwongo mtupu !!!
Note: Kwa Wabrazili nakubali. Mulatto wale ngozi yao ile na miili yao ni mchanganyiko wa kushangaza....
Safi sana nimefurahiTupo[emoji4]
Karibu tena mchinaSafi sana nimefurahi
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Umeona eeh! Eti kama jana from nowhere nikaku[emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9]. Akili hovyo kabisa hii. Imagine kama Cole angeona? Ubro si ungekufa? Au Andjul? Au kale katineja kakongwe? Moto si ungeniwakia?
Utakataa uwaziri kweli.Nitakataa ujue[emoji23]
Kwema shemeji langu la nguvu,sijui huko
Eti AncestorsShort people have a tendency of laughing alone because they can hear ancestors making jokes underground.[emoji23][emoji23][emoji817]
kilimo ni uti wa mgongoKilimo