mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
YapWewe unatoa lakini hizo likes au unalalamika tu mkuu? Ndivyo hivyo. Tabia za watu zinabadilika badilika. Hata katika uzi huu tegemea kuona mabadiliko hayo.
Mf. Watu hawapendi namba na kukwotiwa sana.