mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
YapWewe unatoa lakini hizo likes au unalalamika tu mkuu? Ndivyo hivyo. Tabia za watu zinabadilika badilika. Hata katika uzi huu tegemea kuona mabadiliko hayo.
Mf. Watu hawapendi namba na kukwotiwa sana.
Drama Kali sana
Mkuu upo[emoji146]
Ujainga. Ole wako useme nimekosea hapo kwny hilo nenoUchochozi[emoji777]
Uchochezi[emoji818]
Hivi huko shuleni mlienda somea...... [emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahahaHilo li muvi silipendagi kabisa
HahahahahaEti, unafikiri huyu dogo anafanya mtihani wa somo gani?
Asante mkuu,Mzee wa kukimbia na mali za watu karibu tena
Usicheke mzee wa liverHahahahaha
HahahahahaWIVU NI NINI...?
Ni Pale Unapowaona WADADA
Wanaitana Wenyewe Kwa Wenyewe
Baby, sweet, Honey, Mpenzi.......
Wakati Wewe Ni Mwanaume Na
upo single
Inauma mnooo
Mia miabora imani kuliko dini
YopAsante sana mkuu....
Huu uzi ndio una trend namba moja katika jamii forum kwa sasa