carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Wasomi akina Sheikh Mzee Mohammed Said wakidadavua haya mambo kwa undani mtu unabaki unashangaa tu. Mwalimu alikuwa kiboko!!!Ila ikifuatilia hii kitu kuna kama [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
Kwenye picha hii Karume yuko wapi?
Aaaaaa jamani! Si walimtoa Klinsman wakaleta kocha mpya? Si wangemleta hata Wenga akasaidia? Sad !!!
Shemeji kwema? Naona umeamka na nyimbo asubuhi asubuhi. Bila shaka ni dalili ya furaha na siku njema. Hebu na ukabarikiwe sana leo na kuwa na siku iliyosheheni mibaraka [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]What do you do when you can't let go?
What do you say when you just don't know how you feel?
And you know nobody knows how you feel
'Cause everybody's got their own damn problem
So everybody's trying to find their way
And day by day is the struggle
In this world you know you have to hustle
Just know that you're not alone
You don't always have to be strong all by yourself
I said, it's okay to ask for help[emoji445][emoji445]
Kwema kabisa,sijui hukoShemeji kwema? Naona umeamka na nyimbo asububi asububi. Bila shaka ni dalili ya furaha na siku njema. Hebu na ukabarikiwe sana leo na kuwa na siku iliyosheheni mibaraka [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Huku bado saa nne usiku. Ndiyo najiandaa kwenda kuucharaza. Insomnia leo naamini haitakuwepo. Nina furaha sana !!!Kwema kabisa,sijui huko
Insomnia tu hakuna kingine
[emoji120][emoji120]amin,ubarikiwe na wewe pia
Ukawe na usiku mwema,Mungu akulindeHuku bado saa nne usiku. Ndiyo najiandaa kwenda kuucharaza. Insomnia leo naamini haitakuwepo. Nina furaha sana !!!
Kwema kabisa,sijui huko
Insomnia tu hakuna kingine
[emoji120][emoji120]amin,ubarikiwe na wewe pia
Wazaliwa wa kwanza mpo?
Acha tu[emoji30][emoji30]Na wewe siku hizi “unakata”? [emoji23][emoji23][emoji23]
Acha tu[emoji30][emoji30]
Halafu leo ni siku ya pili mfululizo[emoji22][emoji22]
Sijui ninashida gani[emoji19][emoji19][emoji19]