Inaelezwa kuwa hali za wastaafu wengi ni za wasiwasi kutokana na malipo wanayolipwa kuwa kiduchu na yasiyoendana na hali halisi ya maisha ya sasa.
Kwa mfano, mstaafu analipwa Sh300,000 kila baada ya miezi mitatu, kweli kiasi hiki cha fedha kinamsaidia kula, kuvaa na kupata matibabu?