Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

 
Wapi mzee wa liver, sogea hapa tukumbushane mambo ya kipindi kile pale mitaa ya undali, nyang'oro, magole, kitonga, alykhani, olympio, lugalo, nk. Enzi zileee pale Diamonds Jubilee[emoji3] [emoji3] kumbuka kitu mkuu
Nipo mkuu pale diamond jubilee kulikuwa Na uwanja mkubwa sana mchanga tupu watu walizoea kuja kujifunzia Magari pale ndio uwanja wetu mkubwa wa kupiga boli Na hockey
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…