moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji121] [emoji121]Kila nikicheza tatu mzuka naambulia patupu 😡
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji121] [emoji121]Kila nikicheza tatu mzuka naambulia patupu 😡
Kweli mkuukwenye uzi wetu kila mtu ni muhimu
Mbegu za kiume.....Utafiti huo unaongeza kuwa wanaume walioacha kuogea maji ya moto kati ya hao waliochunguzwa, kiasi cha mbegu za kiume kiliongezeka kwa asilimia 491. Je bado huoni manufaa ya maji ya baridi? Naamini sasa umeshaaza kuyaona.
The one and and onlySalaam kwako malkia ISIS
Amepotea kweli huyuSalaam charie Neisha
Man u huyuSalaam kwako mpenda likes, usiyependa kugonga likes Ambiele Kiviele
MogadishuSalaam Bob12, umepotelea wapi mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] katekwaSalaam mkuu ho chi minh, umepotea sana hapa!!
Ya bin adamu machacheYa dunia mengi
Na kompyuta mpakato nazo nasikia ni sawa na vinu vya nyuklia kwa kukaanga mbegu za kiume. Hata nguvu za mnunurisho zinazorushwa na simu za mkononi. Tumezingirwa !!!Na kuvaa picchu zinazobana pia.
Mama AFRICA