Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Utafiti huo unaongeza kuwa wanaume walioacha kuogea maji ya moto kati ya hao waliochunguzwa, kiasi cha mbegu za kiume kiliongezeka kwa asilimia 491. Je bado huoni manufaa ya maji ya baridi? Naamini sasa umeshaaza kuyaona.
Mbegu za kiume.....

Nguvu za kiume.....

Fursa mbili kubwa kwa watafiti na waganga. Kizazi chetu !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…