Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kutokutawala ulaji wa mtoto

Ni jambo la kusikitisha kuona mtoto anapata maradhi ya shinikizo la damu kutokana na ulaji mbaya. Wazazi wengi wenye pesa huwapa watoto wao mlo bora kupita kiasi, jambo ambalo huathiri afya za watoto.

Pia wazazi wengine huwazoesha watoto wao vitu kama vile biskuti na pipi ili kuwafurahisha. Jambo hili limewasababishia watoto wengi kuoza meno au hata kuwa wezi wa fedha ili wanunue vitu hivyo.
 
Kutokuheshimu hisia na utu wake

Mtoto ni binadamu kamili mwenye utu na hisia ambavyo vyote vinatakiwa kuheshimiwa. Wazazi wengi hufanya kosa la kutokujali kuwa watoto wao wamechoka, hawana furaha au hata kujali wanapokuwa na changamoto mbalimbali.

Ni muhimu pia wazazi waepuke kuwakaripia au kuwakemea watoto wao mbele ya watoto wengine, kwani kwa kufanya hivyo huwafanya wajisikie duni.
Fact
 
Duh!

Kwamba mimi na KK ndo tumemfanya akimbie uzi??seriously??unakimbia uzi sababu umetaniwa?ajabu hii
Kichwa Kichafu njoo huku beibe et tumemkimbiza mtu kwa utani[emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu tuache utani dogo sawa eeh??
Dogo nani ana utani mbona mi sijui utani tutazibuana hapa.


Nani tena hebu ning'ate sikio na pua[emoji6] [emoji23]
 
Back
Top Bottom