Kutokutawala ulaji wa mtoto
Ni jambo la kusikitisha kuona mtoto anapata maradhi ya shinikizo la damu kutokana na ulaji mbaya. Wazazi wengi wenye pesa huwapa watoto wao mlo bora kupita kiasi, jambo ambalo huathiri afya za watoto.
Pia wazazi wengine huwazoesha watoto wao vitu kama vile biskuti na pipi ili kuwafurahisha. Jambo hili limewasababishia watoto wengi kuoza meno au hata kuwa wezi wa fedha ili wanunue vitu hivyo.
FactKutokuheshimu hisia na utu wake
Mtoto ni binadamu kamili mwenye utu na hisia ambavyo vyote vinatakiwa kuheshimiwa. Wazazi wengi hufanya kosa la kutokujali kuwa watoto wao wamechoka, hawana furaha au hata kujali wanapokuwa na changamoto mbalimbali.
Ni muhimu pia wazazi waepuke kuwakaripia au kuwakemea watoto wao mbele ya watoto wengine, kwani kwa kufanya hivyo huwafanya wajisikie duni.
Nyani himselfNimewamisije
18:5818:28
Kumbe ndio maan hadi leo we pimbi upo vileYaani mwanaume akijua kupika me hoooii[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Haya mambo mengine bhana
[emoji6] [emoji6] [emoji6] vyuma vyuma vilinikosa kosa [emoji23] [emoji23]Ulinikimbia asubuhi
Dogo nani ana utani mbona mi sijui utani tutazibuana hapa.Duh!
Kwamba mimi na KK ndo tumemfanya akimbie uzi??seriously??unakimbia uzi sababu umetaniwa?ajabu hii
Kichwa Kichafu njoo huku beibe et tumemkimbiza mtu kwa utani[emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu tuache utani dogo sawa eeh??
Sipati picha mzee mwenzangu ho chi minh anakitambi cha ajabu sijui atazifunga vipi hapoHuku sasa ni kuibiana
Hadi 6pack??[emoji23][emoji23]
Na kwako pia mremboJion njema
Ya nini kuhangaika gym shemeji kama kuna hii short cut? Kwema?Huku sasa ni kuibiana
Hadi 6pack??[emoji23][emoji23]
SupersonicNimependa speed yenu 5g
19:0818:58
Nimeshafanya hivyo kamanda wa pwani!!!Gonga likes mkuu, Nazisubiri kwa hamu
[emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe ndio maan hadi leo we pimbi upo vile
HahahahahaSipati picha mzee mwenzangu ho chi minh anakitambi cha ajabu sijui atazifunga vipi hapo
Karibu tukimbizeNimependa speed yenu 5g
Mzima sana sijui wewe[emoji6] [emoji6] [emoji6] vyuma vyuma vilinikosa kosa [emoji23] [emoji23]
Ikabidi nikavikaze na imani u mzima