Kiongozi huyo amesema wanakwenda Bukoba, bila ya mshambuliaji wao Donald Ngoma aliyeumia nyama za baja kwenye mchezo uliopita dhidi yaMtibwa Sugar, lakini pia bado kuna wasiwasi ya kumkosa kiungo Mzimbabwe Thabani Kamusoko, ambaye leo asubuhi alionekana akifanya mazoezi ya peke yake.
Habari ya siku nyingi mkuu[emoji120] [emoji120]Amina
Asanteh sana numbisa.Shedede naona umekua verified congrats