Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji15][emoji15][emoji15]maamuzi magumu
 
Penda sana hawa enzi hizo
Hakuna kama TLC.

Ujue Wanamuziki wa zamani kila Mmoja/kila Kundi wanakuwa na Kitu fulani tofauti ambacho ndicho kinachotenganisha Wanamuziki wa zamani, na wa hivi sasa.

Mfano Drake uondokaji wake na Sauti yake, na ukimuweka G Eazy. Kama ukiwa unasikiliza au mfano Kibao cha G Eazy kiko Hewani unaweza jua Drake.

Na Drake nae, kibao chake kikiwa kinarushwa Hewani na kwa mfano ukiwa hujawahi kukisikia ghafla unaweza jua huyo ni G Eazy.

Kila Mziki una zama zake, lakini Mziki wa zamani ni Kitu kingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…