mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hahahahaha atakuja tena Uzi wetu huu ni pendwa sanaYeye alikuwa anakuja anaweka posts hata 100 halafu anasepa. Sidhani kama aliwahi toa like hata moja. Hiyo ndo tofauti bro...
Ubinadamu Kazi kweli kweliKweli tupu. Binadamu !!!
Yap lete mamboKISA CHA MFALME MTATA NA MCHAMUNGU KINAENDELEA PUNDE
Pamoja mkuuNilikuwa sijui. Asante kwa shule ya bure !!!
AMUN RA19:19
Likes za mchanaLikes za usiku
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimepishana nae yupo serious anaenda kwake tayari amenunua.
ho chi minh njoo utupe mrejesho wa hizo six park na kitambk chako cha gongo kali
Kabisa mkuuHakuna mwanamke mrembo hapa duniani kama mwanamke wa Kiafrika anayejijua na kutambua thamani na upekee wake !!!
Faru john buku nane jeroBuku saba(7000)nafikiri,ila tumuulize mzee wa tukuyu naona atakuwa na majibu sahihi
Vipi nikuagizie[emoji38][emoji38][emoji38]
Faru john buku nane jeroBuku saba(7000)nafikiri,ila tumuulize mzee wa tukuyu naona atakuwa na majibu sahihi
Vipi nikuagizie[emoji38][emoji38][emoji38]
HahahahahaNi jambo la kumsikitikisha.
Zile 6 parks nimemkuta kajifunga mgongoni sijajua tatizo nini tena hata hacheki.
AMUN RAJibapa siliwezi aisee. Mvinyo mwekundu au Pink Moscato sawa.
Mzee wa Tukuyu alikuwemo humu jana mida ya wanga leo sijamuona. Habari zake njema ulizipata? Miujiza inaendelea kutendeke [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Likes za mchanaLikes za usiku
YapUchoyo weka pembeni
AMUN RA20'25