Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa majaliwa yake Rabana ,Siweki fundo moyoni,
Yeye ndiye anayetoa kumpa amtakaye,
Wala hajamuonea Yule mja akosae, Hana hiyana Manani Naapa sitakufuru nikakesha ugangani.
Nipatacho Nashukuru Ndio Ridhiki yangu, Iliyopangwa ardhini sawa na sudi zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…