Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Aiseee safi sanaWakati wanajiandaa na Kibao chao cha kuitwa CREEP yeye Left Eye alikataa kushiriki.
Na hata walipofanya Video ya Kibao hicho hicho cha kuitwa CREEP alikataa pia.
Yaani wenzake baada ya kumbembeleza sana, ndio akakubali kuwepo (kuonekana) kwenye Video hiyo, lakini kwa sharti moja tu!
Ambalo kutokufungua kinywa chake.
Unafahamu kwanini?
Shuka chini
Kweli mkuu nimeonaLeft Eye alikuwa ni Mfokaji wa Kundi hilo lao la TLC.
Utakapopata muda wa kutazama Kibao chao, mchunguze Left Eye kwenye Kibao chao cha CREEP utamuona jinsi alivyokwenda KibubuBubu.
Yaani ameuza Sura tu kwenye Video ya Kibao chao cha kuitwa CREEP.
Hajafungua Kinywa chake
Yap mkuuSisters With Voices (SWV).
Uwezo sana hao
Mkuu muziki wa enzi hizo si wa kitotoVibao vyao Vitamu sana.
Hapa nimedata.
Ujue Vibao vyao vimeenda sana Shule
Hahaha a hasTatizo ni huu uzi. Haki ya nani uzi huu utakuja kuleta madhara makubwa huko mbele ya safari - BP, Insomnia, depression, mipango kudorora, migraines, irritation, chronic tiredness, viganja kuuma, arthritis, matatizo ya macho, shingo, simu kuchakaa mapema na msururu mwingine wa matatizo. Mimi karibu nitachukua maamuzi magumu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi napiga mchana mkuuNaamini hata uzi huu unachangia aisee. Numbisa naye nimemuona kule analalamika usingizi sijui unasumbua. Cole naye eti umekata. Mi mwenyewe ni hivyo hivyo tu. Zisi iz denjarazi jamani....
Kuna dogo mmoja naye alikuwa mwiba sana jina linanitoka nikikumbuka nitakujulishaSWV - I am so into you
Penda sana hii ngomaSWV - You are always on my mind
HahahahahaVibao vyao ni vingi sana na vyote ni vikali.
Ngoja niishie hapo.
Maana Mizuka imeshanipanda
Mkuu niaje[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hahahahaha neno mzawa umenikumbusha mbali sanaJambo mzawa Yegomasika
Mch. Mtikila na magabacholi yake....Hahahahaha neno mzawa umenikumbusha mbali sana
Sometimes there is no comeback !!!