Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nimekupata bageshi. Mapenzi ya mtandaoni haya (hasa ya kwenye uzi wetu huu pendwa) mara nyingi (99.99%) ni utani tu. Ni njia mojawapo pia ya kupunguza machungu ya kuisoma namba.
Ila mi nikipita Mwanza nitakutafuta tu tuje tupambane kwa mapovu laivu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asantee kwa maupendoNdio maana tunakupenda wengi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmmh
Sijawahi ona numbisa appreciate
Karibu tena Beef LasagnaAsantee kwa maupendo
[emoji23][emoji23][emoji23]. Kwema mkuu? Bado uko Kibiti au ulishahamishwa?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Numbisa we huwa nakumiss mno sema udomo zege tu. [emoji23] [emoji23] [emoji23]