Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nasikia ndo mapigo ya Tanga hayo....Babe amelowekwa kwenye maji ya mdalasini! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550]
Nasikia ndo mapigo ya Tanga hayo....Babe amelowekwa kwenye maji ya mdalasini! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550]
Jana pale sikulala unajua tulienda wapiAu ulilala kona pale[emoji23][emoji23]
tremendous kitambo kweliSiku mingi sana
Haisaidii cho chote. Kama hujaamua kutulia ......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo shemeji. Pesa. Gari. Nyumba. Kazi. Elimu?...Eti sifa za kisasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nasikia ndo mapigo ya Tanga hayo....
Aiseeh!magonjwa haya mara nyingi wanatoa supportive managements tu hakuna cha ziadaMpaka sasa hakuna tiba ya dementia wala Alzheimer. Hata visababishi vyenyewe tu hawajajua.
Nina jamaa hapa babake ana advanced stage ya Alzheimer. Hakumbuki cho chote. Hakuna coordination pia. Hajui chakula akikichukua inabidi akipeleke wapi. Yaani ni kama lisanamu tu. Basi watoto wake wanaishia kulia tu. It is one of the most horrible and dehumanizing disease out there!
CHAPUTAUpigaji wa punyeto: tatizo hili la kusahau kwasababu ya punyeto ndio chanzo kikuuu kwa vijana wengi chini ya miaka 35 kwani tabia hii huambatana na maumivu ya kichwa, uchovu mwingi na kusahau kusiko kwa kawaida
Byutifuuu !!!Mama na mwana View attachment 609502
Mlienda wapi?na nani?[emoji23][emoji23][emoji23]Jana pale sikulala unajua tulienda wapi
CuteBibi, mama, mjukuu View attachment 609508
Coleeeeeeeeeeeee [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️Hapa piga ua,talaka yangu utatoa ama sivyo wewe bwana nitakuonyesha[emoji445][emoji445][emoji445][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aiseeh!magonjwa haya mara nyingi wanatoa supportive managements tu hakuna cha ziada