Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Fanya mambo taratibu na umakini mkubwa: tabia ya kufanya vitu haraka haraka ndio hufanya mtu asahau sana, hebu kua makini na wakati mwingine jisemee moyoni. Mfano ukiweka simu kwenye droo sema moyoni ‘nimeweka simu kwenye droo’ itakusaidia kukumbuka.
 
tumia virutubisho:hivi ni virutubisho vinavyoongeza na kusaidia usambazaji wa damu kwenye ubongo wa binadamu, hutengenezwa na mimea asilia na havina kemikali kabisa.mfano ginkgo plus amabao ni mmea ambao hupatikana nchi za ulaya..mmea huu pamoja na kuongeza kumbukumbu hutumika kama ant aging huku nchi za uchinna yaani huchelewesha mtu kuonekana mzee. dose ya virutubisho hivi ni kimoja kwa mwezi.
 
Carba. Naomba utupie neno hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Talakaaaaaa....[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
cdc9054cc9706e2747d231fbb923c41c.jpg
Hapa piga ua,talaka yangu utatoa ama sivyo wewe bwana nitakuonyesha[emoji445][emoji445][emoji445][emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Upigaji wa punyeto: tatizo hili la kusahau kwasababu ya punyeto ndio chanzo kikuuu kwa vijana wengi chini ya miaka 35 kwani tabia hii huambatana na maumivu ya kichwa, uchovu mwingi na kusahau kusiko kwa kawaida
Duh! Universal problem hii....

Watafiti wa Kimagharibi inabidi waifagilie tu na kusema kuwa haina madhara...
 
Kuna hali kitaalamu inaitwa dementia ambayo hutokea mara nyingi katika umri mkubwa na huambatana na kusahau kuliko pitiliza yaani kupotea katika mazingira unayoyafahamu, kusahau majina ya kawaida kabisa kama embe, pazia, kiti na meza, kurudia kuuliza swali la aina moja kila siku, na kuchanganyikiwa lakini hali huu huletwa na magonjwa Fulani mfano Alzheimer's disease{hii hali ni hatari na hutibiwa kitaalamu}
Mpaka sasa hakuna tiba ya dementia wala Alzheimer. Hata visababishi vyenyewe tu hawajajua.

Nina jamaa hapa babake ana advanced stage ya Alzheimer. Hakumbuki cho chote. Hakuna coordination pia. Hajui chakula akikichukua inabidi akipeleke wapi. Yaani ni kama lisanamu tu. Basi watoto wake wanaishia kulia tu. It is one of the most horrible and dehumanizing disease out there!
 
Back
Top Bottom