Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Marafiki wengine mhhhhh !!!
[emoji23][emoji23]dah!Niliambiwa niache taratibu taratibu zamani nilikuwa navuta misokoto 53 ila now naacha m1 m1
Niliyokupa jana imeisha?Leta pesa kwanza[emoji125] [emoji125]
Na hiriki[emoji23][emoji23][emoji23]Babe amelowekwa kwenye maji ya mdalasini! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550]
Mmmmh aiseee 1975!!!???Umenikumbusha 1975 ndipo nilikisoma hiki kitabu kama sijasahau