mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
HahahahahaAnaewikia ndani mwoga..
Sawa mkuu. Huwa sibishani na vitabu vya dini...[emoji23][emoji23][emoji23]Qur'an tukufu ndio inayosema hivyo
Sidhani kama hapa panahitaji hilo. Hapa ni burudani na likes..hatuonyeshani tunajua nn!! Kula likesLogic ina principles zake. Ndiyo maana ni somo muhimu kwa wanasheria. Mwanzo ulisema uani ni ndani. Kamtego kadogo tu ukasema uani ni nje. Kama ni mahakamani ushagaragazwa tayari. Ndo maana nikasema case closed. Tuendelee kufakamia likes kamanda mengine haya tuyaache [emoji23][emoji23][emoji23]
Utapenda sana....ISIS NAKUPENDA AHA!
Sawa mkuuHakuna kipya hapa duniani!
Hahahaha na kweli, tena kama leo...mhh naona ya kwangu inayeyuka haraka.... Niwatakie tu wkt mzuri.....japokuwa nawamissKama kqwaida nawatanguliza na baskel ya barafu juani najua hamfiki mbali zinayeyuka nawafikia huko
Hahaha...Bashite anazingua!
Kuzuriiii. Misambwanda bwerere [emoji23][emoji23][emoji23]Yombo vituka
Culture galhalafu mfukoni sina kitu
Karibu mkuuAm baaaaaack
Nikweli au mbwembweGuys kesho Eid
Poa poa usikondeNigongeeeni likes za kutosha huenda zikabadilika na kua noti, lol
Avatar yako inatishaKichwa kichafu
U will be missed eitherHahahaha na kweli, tena kama leo...mhh naona ya kwangu inayeyuka haraka.... Niwatakie tu wkt mzuri.....japokuwa nawamiss