kimsingi kujiua sio ugonjwa wa akili lakini ni matokeo ya msongo wa mawazo na magonjwa ya akili yanayosababishwa na matatizo mbalimbali ya kiafya, kiuchumi, kimahusiano, msongo wa mawazo, matumizi ya dawa fulani za kulevya,kukoza kazi na kufiwa na wapendwa wetu.