Wengine wazuri mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mie na hao Wadudu.
Sitaki mazoea nao hata kidogo
Gr8 jumatatu na majukumu ya hapa Na paleNjema Kiongozi.
Mungu anasaidia sana Kiongozi.
Nashukuru sana Kiongozi.
Vipi na wewe upande wako Kiongozi?
Namuona missy Elliot hapoTIMBALAND, AALIYAH na MISSY ELLIOT.
\
Hahahahaha pole sana mkuuKila siku ikifika mida hii usingizi unakata.This is weird.
Vibaya sana like Vanessa WilliamsHALLE BERRY.
Huyu Mtoto analipa sana
HahahahahaBadilisha muda wa kuhesabu pesa mkuu. It is that simple. Kwema lakini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Habari za uhakika alikitafuna mkuuMkuu, kuna tetesi eti haka katoto R. Kelly alianza kukatafuna kakiwa bado under age. Tetesi hizo ni kweli?