Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu unamaindi sana Simba [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] inawezekana hata bongo unashabikia simba
Sishabikii mpira. Simba ni wanyama magnificent sana kwa kuwaangalia tu. Hawana hofu na wako juu ya msimbo tata wa kula na kuliwa (food chain). I admire their courage, fear factor and their majestic and imposing physique...hence the name SBY !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…