Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sishabikii mpira. Simba ni wanyama magnificent sana kwa kuwaangalia tu. Hawana hofu na wako juu ya msimbo tata wa kula na kuliwa (food chain). I admire their courage, fear factor and their majestic and imposing physique...hence the name SBY !!!
Pamoja mkuu lakini sasa wewe ni mshabiki wa arsenal[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwema kamanda. Sijui kwa nini sometimes nikikuonaga natamani tu kupayuka "Pipoooooooooooooooozi !!!"

Uchaguzi uliopita uligombea?
I hate politics mkuu sidhani kama nitagombea Siku yoyote katika uhai wa maisha yangu nilikuwa na nafasi hii kubwa ya kufanya hivyo lakini nilikataa napenda marafiki sipendi kupunguza marafiki kwa ajili ya siasa
 
Ile ya kule, kulingana na Dr. wetu hapa imejaa mabakteria mabilioni. Si ya kufakamia hivi hivi ile ohooo !!![emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lakini tamu kwa wanaotumia mambo ya baketeria ni mapito tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…